Ni Salama

Semina ya wanaume Kawe 2019: 23

Episode Summary

Faida za Mwanaume za kuomba kwa kunena kwa Lugha kwa Muda Mrefu

Episode Notes

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:

Bwana Yesu Asifiwe!!

Hizi ndizo namba za simu za huduma: 

+255754211633,

+255715511633 na 

+255682657080.

Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.