Mithali 6:6-11 Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima. Kwa maana yeye hana kiongozi, Wala msimamizi, wala mkuu, Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Baada ya sala na mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege changia huduma ya Mana Ministries iweze kuendelea, kukua na kufikia watu wengi zaidi ndani na nje ya nchi.
NAMNA YA KUPATA KANDA, CDs & DVDs BONYEZA HAPA
👉🏼 https://goo.gl/xrSwmN
NAMBA ZA SADAKA NA MAOMBI
👉🏼 https://goo.gl/7XcFiP
MAOMBI YA KUOKOKA NA KITABU CHA HONGERA KWA KUOKOKA.
👉🏼 https://goo.gl/XKoJNB