Ni Salama

Tumia sala hii kuachilia Damu ya Yesu ifungue akili yako

Episode Summary

Unapitia kipindi kigumu na unatamani kupata sala itakayokuongoza kwenye kuifungua akili yako ipate kufanya kazi kufuatana na Mpango wa Mungu kwenye maisha yako. Sikiliza na fuata sala hii Neno: Ayubu 32:8 โ€œLakini imo roho ndani ya mwanadamu, Na pumzi za Mwenyezi huwapa akili.โ€

Episode Notes

Weka mikono yako juu ya kichwa ili tufanye maombi ambayo Mungu atafuatilia muunganiko wa ubongo wako na akili zako. Kama kuna mapepo katika akili zako yataachia tu kwa jina la Yesu.

Omba Mungu aponye akili zako na kuweka huo muunganiko vizuri kwa Damu ya Yesu. Nyunyiza Damu ya Yesu juu yako.

Pia kama hujaokoka hakikisha unaokoka, angalia link ya sala ya Toba na kitabu cha Hongera kwa kuokoka. Pia kama una ndugu yako unataka Mungu amponye akili zake andika jina lake tuma kwa namba za maombi tulizokuweka pale juu mwanzo wa somo hili.

Kwa taarifa zaidi na kutoa sadaka kwa Mwalimu Christopher Mwakasege
NAMBA ZA SADAKA NA MAOMBI
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ https://goo.gl/7XcFiP

NAMNA YA KUPATA KANDA, CDs & DVDs BONYEZA HAPA
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ https://goo.gl/xrSwmN

MAOMBI YA KUOKOKA NA KITABU CHA HONGERA KWA KUOKOKA.
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ https://goo.gl/XKoJNB